Tanzania Government Gazette dated 2022-01-28 number 4

ISSN 0856 - 0323

MWAKA WA 103 28 Januari, 2022

TOLEO NA. 4 GAZETI
LA DODOMA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
O
Linatolewa kwa Idhini ya Serikali na
Kuandikishwa Posta kama
Gazeti

YALIYOMO
Taarifa ya Kawaida Uk. Taarifa ya Kawaida Uk.

Kuajiriwa na kukabidhiwa Madaraka ........ Na. 246 83 Kufunga Kampuni ............................. Na. 276 93
Notice re Supplements .................................. Na. 247 84 Business registration ........................ Na. 277/80 93/5
Kupotea kwa Hati ya Kumiliki Ardhi ..... Na. 248/59 84/7 Uthibitisho wa usimamizi wa mirathi ...... Na. 281/3 95
Kupotea kwa Leseni ya Makazi .......... Na. 260 87 Probate and administration ............... Na. 284/6 96
Kampuni Iliyofutwa katika Daftari la Deed Poll .......................................Na. 287/ 320 96/110
Makampuni ....................................... Na. 261 87 Hati ya Kiapo .................................... Na. 321 110
Resolution ................................ Na. 262/68 87/90
Special resolution .................... Na. 269/70 90/1
General Meeting ......................... Na. 271 91
Reduction of share capital .............. Na. 272 91/2
Final Meeting ......................... Na. 273/4 92
Public Notice ............................... Na. 275 92/3

Kuwa Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Mikataba ya
TAARIFA YA KAWAIDA NA. 246
Utendaji Kazi Serikalini Kuanzia Tarehe 01.08.2018
KUAJIRIWA NA KUKABIDHIWA
MADARAKA Zainab J. Kutengeza

Kuwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria
KUAJIRIWA NA KUKABIDHIWA MADARAKA kuanzia tarehe 01.05.2019

OFISI YA RAIS Hilda N. Kabissa

MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA Tangazo la kuajiriwa na kukabidhiwa Madaraka linaendelea
UTAWALA BORA. ukurasa wa 110.

Matangazo yahusuyo mali za watu waliofariki, kuvunja mikataba ya ushirikiano na mengineyo, yakiwa ya manufaa
kwa umma yaweza kuchapishwa katika Gazeti. Yapelekwe kwa Mhariri, Ofisi ya Rais --- Menejimenti ya Utumishi wa
Umma, S. L. P. 670. 40404 Dodoma, Simu za Ofisi: +255(026)2963630. Kabla ya Jumamosi ya kila Juma.

Limepigwa Chapa na Mpigachapa Mkuu wa Serikali, Dodoma --- Tanzania