Tanzania Government Gazette dated 2022-07-15 number 28

ISSN 0856 - 0323

MWAKA WA 103 15 Julai, 2022

TOLEO NA. 28 GAZETI
LA DODOMA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
O
Linatolewa kwa Idhini ya Serikali na
Kuandikishwa Posta kama
Gazeti

YALIYOMO
Taarifa ya Kawaida Uk. Taarifa ya Kawaida Uk.

Notice re Supplements ....................... Na. 2944 139/40 Business Registration ................ Na. 2971/74 148/9
Mbunge wa kuteuliwa Wanawake Uthibitisho wa Usimamizi wa Mirathi ....Na. 2975/8 149/50
Viti Maalum .................................. Na.2945 140 Probate and Administration ........... Na.2979/92 150/4
Kupotea kwa Hati ya Kumiliki Ardhi .... Na. 2946/51 140/1 Deed Poll ...................... Na. 2993/3146 154/220
Kupotea kwa Barua ya toleo ........... Na. 2952/3 141/2 Affidavit ................................Na. 3148/52 220/2
Uteuzi wa Wajumbe wa Baraza la Kiapo ........................................ Na. 3153/57 222/3
Ardhi ..................................... Na. 2954/5 142/3 Uteuzi wa Wafilisi ............................... Na. 3158/60 224/5
Loss Report ............................... Na. 2956/8 143 Wathamini wa Majengo .................... Na. 3161 226/37
Kufuta Usajili wa Wadhamini ............... Na. 2959 143
Resolution ........................ Na. 60/1 143/4
Winding Up ..................................... Na. 2962/6 144/5
General Meeting ......................... Na. 2967/9 145/8
Kufungwa kwa Kampuni .............. Na. 2970 148

TAARIFA YA KAWAIDA NA. 2944
2002]) (Government Notice No. 486 of 2022)

Notice is hereby given that Notice and Sheria Ndogo Notice under The Laws Revision (The Rectification of
as Set out below, have been issued and are published in Printing Errors) (The Law of Marriage Act [Cap. 29 R.E
Subsidiary Legislation Supplement No. 28 dated 15th July, 2019]) (Government Notice No. 487 of 2022)
2022 to this number of the Gazette:-
Sheria Ndogo za (Ada Ya Vibali Vya Ujenzi) Za Halmashauri
Notice under The National Prosecutions Service Ya Manispaa Ya Songea (Tangazo la Serikali Na. 488 la
(Appointment of Public Prosecutors) (Government 2022)
Notice No. 485 of 2022)
Sheria Ndogo za Ya Ushuru Wa Huduma Ya Halmashauri
Notice under The Laws Revision (The Rectification of Ya Manispaa Ya Songea (Tangazo la Serikali Na. 489 la
Printing Errors) (The Public Holidays Act [Cap. 35 R.E 2022)

Matangazo yahusuyo mali za watu waliofariki, kuvunja mikataba ya ushirikiano na mengineyo, yakiwa ya manufaa
kwa umma yaweza kuchapishwa katika Gazeti. Yapelekwe kwa Mhariri, Ofisi ya Rais --- Menejimenti ya Utumishi wa
Umma, S. L. P. 670. 40404 Dodoma, Simu za Ofisi: +255(026)2963630. Kabla ya Jumamosi ya kila Juma.

Limepigwa Chapa na Mpigachapa Mkuu wa Serikali, Dodoma --- Tanzania